Msasa wa umeme aina ya BOSCH PSS 200 AC. Ni brand new haujawahi kutumika wa pembe nne. Bei laki moja 100,000/=
Nicheki kwa no 0686055444 niko dar mbezi mwisho
Hi! Nahitaji mashine ndogo za mbao aina zifuatazo, (a): msasa WA mbao WA kutumia umeme uwe wa circular wenye power ya 850
(b): jigsaw power 800
(c): drill power 750-850
Hi! Nahitaji mashine ndogo za mbao aina zifuatazo, (a): msasa WA mbao WA kutumia umeme uwe wa circular wenye power ya 850
(b): jigsaw power 800
(c): drill power 750-850