tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Ninapatikana Mkoani Njombe, mawasiliano 0625844563
Yn ww huogopii, mkaa gani unauza kwanza, kama ni huu wa miti tumepiga marufuku ukataji wa miti, tutakuzingira wakt wwt kuanzia leo, kama ni makaa ya mawe ruksaNinapatikana Mkoani Njombe, mawasiliano 0625844563

Nauza Huu Wa miti, Mbo Huu Ni Mkaa Wa Miti Yangu, Nahio Sheria Yenu, Ahàhahaaa!! Wweee take care, Unataka tuwe wezi, mnatunga Sheria Ngumu Za Kutubana RAIA Wakati Hamwezi Toa ajira ndogoYn ww huogopii, mkaa gani unauza kwanza, kama ni huu wa miti tumepiga marufuku ukataji wa miti, tutakuzingira wakt wwt kuanzia leo, kama ni makaa ya mawe ruksa![]()