Nauza Mitsubishi Airtrek Mil 9

Habari ya Mujini

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
2,518
Reaction score
1,046
Gari ipo kwenye hali nzuri sana alikuwa anatumia mama kwa shughuli za nyumbani amebadili gari ameamua kuuza hii..!! Ina Turbo..maelezo zaidi nimeweka card ya gari hapa unaweza kuipitia..!


0756624618

 
Nakushauri hiyo kadi ya gari itoe haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…