Habari wapendwa!
Nauza milango ya aluminium mitatu (3),
Na milango ya chuma miwili (2)
*Imetumika mwaka mmoja tu.
Ipo katika hali nzuri,sana.
Karibu ofisini Segerea mwisho upate kuikagua
Yote kwa pamoja ni Tsh.million moja Tu!
Wahi bahati yako!
Njoo pm