nauza mikanda ya kupunguza tumbo

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
habar wapendwa.mikanda ya kupunguza tumbo imefika kwa wale waliokosa.na kwa wanaohitaj pia mikanda ipo.ni ya mtumba.naleta ulipo.bei ni elfu 30.napatikana kwa namba 0712620078
 
Inafanya vipi kazi mkuu hiyo mikanda?
 
habar wapendwa.mikanda ya kupunguza tumbo imefika kwa wale waliokosa.na kwa wanaohitaj pia mikanda ipo.ni ya mtumba.naleta ulipo.bei ni elfu 30.napatikana kwa namba 0712620078

Niko ngorongoro nina mchepuko unanidai hii kitu, na uku unaleta?picha napata? Au sharti mbuzi auzwe kwenye gunia!!
 
habar wapendwa.mikanda ya kupunguza tumbo imefika kwa wale waliokosa.na kwa wanaohitaj pia mikanda ipo.ni ya mtumba.naleta ulipo.bei ni elfu 30.napatikana kwa namba 0712620078

Umekuwa una post then haurespond kwa maswali ya watu, mkuuu. Hebu elezea biashara yak kdgo.
 
Yakuongeza tumbo unayo no pm
 
Log arudi huyu akisikiagawameshtuka mamboyatigopesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…