Nauza Mifugo Hii

ndaha

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
347
Reaction score
49
Wadau salaam..nina shamba la mifugo Morogoro na nimeamua kupunguza mifugo ifuatayo:
1.Bata Mzinga Wakubwa madume @ 90000
2.Bata aina ya Peking wakubwa @ 80000
3.Kanga @ 20000
4.Majogoo machotara @ 20000
Karibuni sana..kwa mawasiliano pls text 0659300000
 
mkuu hizi bei mbona kama zinanitisha! bei ya bata mmoja imefika elfu 80? au ulimaanisha elfu 8?
 
Hello Excel...Ni kweli lakini hap si bata wa kawaida yaani Moscovy ni bata aina ya peking wale wakubwa weupe...wengine huwa wanawaita bata wasafi au bata maji.Hapo dar wanauzwa 120 kwa kila 1 na mimi nilinunua hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…