Nauza Memory Kadi

Nauza Memory Kadi

thefreedot

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Posts
135
Reaction score
25
SD Memory Cards for Sale....Special Price Offer.

8gb - Tsh. 9,000
16gb - Tsh. 18,000
32gb -Tsh. 36,000

Mobile/Call: 0655659115...!!!
 
Duh..!! Nimenunua 32GB kwa 45,000/=

Kumbe nimeliwa? Pole yangu.
 
Hapana hii ni special offer mkuu...hujaliwa..ndo bei zake hizo...!!!
 
Kwasasa sina mzigo wa juml... nina wa rejareja tu.
 
SD Memory Cards for Sale....Special Price Offer.

8gb - Tsh. 9,000
16gb - Tsh. 18,000
32gb -Tsh. 36,000

Mobile/Call: 0655659115...!!!
Mbona hiyo bei ni zaidi ya bei ya dikani mkuu. Pale Nkuruma mkabala na kituo cha mafuta kuna duka wanauza 16 GB kwa tzs. 15,000.00
 
Hao labda wanataka kumaliza stock...hivo wameona wauze kwa hasara...!!! Au labda wana agiza mzigo mkubwa mno hivo hata wakiuza gb 1 kwa 500 hawapati hasara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom