Nauza mbuzi watatu (3)

MUSHEKY

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
2,812
Reaction score
2,767
Mmoja mkubwa wawili wa wastani

Wapo Kinyerezi Dar es salaam

Kwa anayehitaji karibu PM
 
Hivi mnawezaje kufunga mbuzi katikati ya mji?.

Anyway cheki pia kwa wachoma nyama kwenye mabaa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwa nini usiwa process kabisa ndo uuze kuliko kuuza raw materials?
 
Hivi mnawezaje kufunga mbuzi katikati ya mji?.

Anyway cheki pia kwa wachoma nyama kwenye mabaa.

#MaendeleoHayanaChama
Hawa wanapatikana kwa njia tofauti mkuu mm sio wafugaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…