Kwenye kuchanganya material ya plastiki tunatofautina, wengine wanaweka PET NA HDPE nyingi so mambo kama hayo lazima yatoke, kiukweli tangia tuanze hii biashara hatujawai kupata changamoto ya aina hii.Niliona mjadala kule Kenya, jua likiwa kari sana misumari inalegea,haziga8 hasa zile za fensi make zinakutana na jua moja kwa moja