Mtotomtafutaji
Member
- Feb 3, 2016
- 9
- 2
Nauza Maziwa fresh.
Bei ni 2000 kwa Lita nafanya delivery kuanzia Lita 10 ndani ya dar
Ukihitaji nicheki inbox.
Bei ni 2000 kwa Lita nafanya delivery kuanzia Lita 10 ndani ya dar
Ukihitaji nicheki inbox.
Mtindi upo na ni mzuri sanaMi nataka mtindi
Mtindi upo na ni mzuri sana karibunikm mtindi upo mm ni mteja wako
Nipo mabibo soko la ndizi na Shekilango mabucha ya samaki karibu sana ukihitaji unaletewaWapi upo