Phinenicke
Member
- Nov 21, 2014
- 15
- 3
Lita 2000?
Duuuh nahamia kimbiji nikafuge.
Kweli mjini kugumu khaa!!!!!!! hiyo bei mmmh!!!! watu watakunywa maziwa wakishauriwa na daktari wallah!!!!
Leo ninapochukua Maziwa wamesema ni 1800 per litre nimebaki natoa macho tu..
Apologise lady upo mitaa gani na please weka namba zako tafadhali if you mean seriouslySema mim niwe nakuuzia 1500 litre, ila uwe unachukua kuanzia litre 5
Apologise lady upo mitaa gani na please weka namba zako tafadhali if you mean seriously
Nakupm namba yangu tuongee biashara., unataka litre ngapi kwa siku????
ok nasubiri.
Lita 5 walau kwa wiki moja.
Nikichukua j3 naweza rudi tena ijumaa au jumamosi
Poa nimekupata,
apologizelady nitakutafuta ilimradi usinimixie tu jamani
Hahaha,aise Jamii forum sometimes very funny.
Maana mleta uzi wa biashara husika hatimae watu wanapiga dili juu ya Kichwa kisha haooo wanasepa