Wewe unajua maana yake ni nini? Tusaidine maana mimi najua K = Kilo ina simama badal ya sifuri 3 yaani 000. Katika vipimo kuna kilogram ambayo ni gram 1000. Kuna Kilometer ambayo ni mita 1000, kilobyte n.k. Shs elfu moja watu wanaita kilo. Hujawahi kusikia mtu akisema hebu nigee kilo hapo mara moja.