Nauza Mayai ya kuku 'chotara'

Irankhunda

New Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Mimi ni mfugaji wa kuku chotara (weusi na wekundu), na ninauza mayai kwa maelewano. Niko Tegeta Dar es Salaam.
Anayehitaji mayai anitafute kwa namba 0762 115 885.
 
Mimi nipo Arusha nahitaji mayai ya kuku weusi a.k.a wa Malawi...
 
nhitaji yenye kiini cha njano either yawe ya kuku chotara au msomali
 
Kiini ni manjano ndugu yangu, ila hao wa kisomali sina. Tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…