Nauza Mayai ya kuku 'chotara'

Nauza Mayai ya kuku 'chotara'

Irankhunda

New Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Mimi ni mfugaji wa kuku chotara (weusi na wekundu), na ninauza mayai kwa maelewano. Niko Tegeta Dar es Salaam.
Anayehitaji mayai anitafute kwa namba 0762 115 885.
 
nhitaji yenye kiini cha njano either yawe ya kuku chotara au msomali
 
Kiini ni manjano ndugu yangu, ila hao wa kisomali sina. Tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom