Shaban Rajab
Member
- Nov 1, 2017
- 79
- 31
Nipo Dar es salaam - Tegeta sema ukitaka mengi nakuletea popote ulipoUpo wap?
Sorry ni mayai ya kuku wa kienyejiMimi nataka mayai ya kuku wa kienyeji, hayo mayai ya kienyeji hayapandi
Kwa reja reja?Sorry ni mayai ya kuku wa kienyeji
Yah nauza jumla na reja rejaKwa reja reja?
Hahaha its true dat. Technology has easen our workDigital life,ingekuwa enzi zile saa hizi ungekuwa mitaa ya posta umepeleka tangazo gazeti la uhuru na tangazo lako lingetoka wiki ijayo..
Mengi kama mangapiNipo Dar es salaam - Tegeta sema ukitaka mengi nakuletea popote ulipo
Nahitaji kwa ajili ya kutotolesha kama yamerutubishwa na yawe yametagwa katika siku zisizozidi wiki moja.Naitwa Shaban Rajab. Ninauza mayai ya kienyeji kwa bei ya 14,000/= kwa trey. Kwa mawasiliano zaidi namba ni 0769345032 na 0654250816
Nimesema hivyo kwa sababu siwezi kutoka tegeta alafu mtu anataka mayai mawili na yupo kariakoo so kama upo karibu ata ukitaka moja sawaMengi kama mangapi
Nahitaji kwa ajili ya kutotolesha kama yamerutubishwa na yawe yametagwa katika siku zisizozidi wiki moja.[/QUO
Yanapatikana ndugu yanguNahitaji kwa ajili ya kutotolesha kama yamerutubishwa na yawe yametagwa katika siku zisizozidi wiki moja.
Yupo humu JF!Upo wap?
Unaongea nn mkuu hebu jieleze vzr.Mimi nataka mayai ya kuku wa kienyeji, hayo mayai ya kienyeji hayapandi