S shav Member Joined Nov 2, 2016 Posts 74 Reaction score 118 Sep 13, 2017 #1 Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app
Jabman JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 1,005 Reaction score 1,339 Sep 13, 2017 #2 Uko wapi? Bei je? Sent using Jamii Forums mobile app
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Sep 13, 2017 #3 Tangaza biashara yako vizuri unakuwa kama hujasoma alaa
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,553 Reaction score 23,914 Sep 13, 2017 #4 weka na bei tafadhal Sent using Jamii Forums mobile app
Nikubuka Member Joined Sep 21, 2017 Posts 20 Reaction score 7 Sep 23, 2017 #5 shav said: Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Habari, Hebu naomba bei ya kilo moja kwa sasa. ninahitaji huo mzigo kama kilo 1000. Peace.
shav said: Habari wana Jf.. Kwa anyehitaji mashudu ya alizeti yanapatikana kw mkulima mimi.. Ninauza kwa Kilo Kwa atakaehitaji tuwasliane kwa namba 0738-357-205 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Habari, Hebu naomba bei ya kilo moja kwa sasa. ninahitaji huo mzigo kama kilo 1000. Peace.
G gmail mkulima Senior Member Joined Jun 11, 2017 Posts 186 Reaction score 114 Sep 23, 2017 #6 Weka bei kilo sh ngapi?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Sep 23, 2017 #7 Nikubuka said: Habari, Hebu naomba bei ya kilo moja kwa sasa. ninahitaji huo mzigo kama kilo 1000. Peace. Click to expand... Uko wapi!? Bei yako!
Nikubuka said: Habari, Hebu naomba bei ya kilo moja kwa sasa. ninahitaji huo mzigo kama kilo 1000. Peace. Click to expand... Uko wapi!? Bei yako!
G Glory Theophil Member Joined Feb 4, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Feb 5, 2018 #8 Deo Corleone said: Uko wapi!? Bei yako! Click to expand... mm ninauza mashudu kilo 400 nipo moshi ,kama utahitaji wasiliana na mm 0655460953
Deo Corleone said: Uko wapi!? Bei yako! Click to expand... mm ninauza mashudu kilo 400 nipo moshi ,kama utahitaji wasiliana na mm 0655460953