Ninavyoelewa hiyo ni mali ya kampuni warudishie watakupa pasenti au marejesho yako kulingana na muda uliokaa nayo. Mtu mwingine akinunua bado kule makao makuu itakuwa inaonekana ni ya kwako. Ile pesa uliyotoa walipokupa ni dhamana tu. Hiyo ni kama mita ya tanescoAnayehitaji mashine ya MaxlLipo ipo katika hali nzuri sana bei maelewano biashara huku kwangu ngumu.
Nitafute namba 0715500248au 0756171831 fasta.