Nauza mashine ya kutengeneza chaki

milaho

Senior Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
190
Reaction score
62
Mashine iko kwenye hali nzuri. Haijatumika bei laki tisa na hamsini elfu. Mazungumzo yapo. Karibuni
 
Nikodishie,ntakuwa natanguliza laki 2 kila mwezi,baada ya miezi mitano inakuwa yangu.Maana yake utakuwa umeuza kwa 1M
 
Raw materials ya kutengenezea chaki ni nini? Kuna watu hawajui ili umshawishi mteja unheweka na raw material MTU ajue.

Kunawengine shule ilipita kishoto lakini hela anayo anapenda kununua hiyo machine ila anajiuliza malighafi yake ni nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina muda gani toka umeinunua?
Kama iko vizuri hiyo biashara kwa nini usikomae ukapiga tenda mbili au tatu ukapata hiyo 950'000 na mashine ukabaki nayo.

Akikujibu nitag. Thanks.
 
Ninazo tatu za size na aina ni moja. Pamoja na kufanya hii biashara nina mirad mingine nasimamia. Sasa mashine kukaa bila kufanya kazi ni hasara bora niuze moja nikuze production kwa kununua material mengi zaidi lakin pia nina shida imenibana ndio mana naiuza pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…