Nauza mahindi

KIGOMA ONE

Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
35
Reaction score
12
Nauza mahindi bei nzuri kwa jumla npo mwanza .....cont 0756-654525
 
wakuu wa kazi ni mahindi ya kusaga ili kutengeneza unga wa kula si ya kuchoma ni mazuri na yanatoka singida,mazuri utayapenda ngejua upo wapi nge kupa bei kaka au ntumie sms 0765-654525
 
Mi mwenyewe npo mwanza kama unahitaji mahindi nambie tu fanye biashara..pia na mafuta ya alizeti kama una hitaji.
 
kwangu mimi hakuna umbali cha msingi ni kufanya biashara kila kitu kina wezekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…