Nauza madera

killer whale

Member
Nov 9, 2017
60
19
Jipatie madera yenye mitandio mikubwa kwa bei nafuu... Jumla ni12000 na reja reja ni 13000. Tupo ilala mtaa wa sadan ama kariakooo mtaa wa somali.

Tunafanya delivery na mikoani tunatuma pia.

0678361222 whatsapp.
 
naweza kupata contact zao mkuu,na vip kuhusu ubora,nitumie pm na samahan kwa usumbufu
Sina contact zao mkuu ila ukifika mbagala rangi tatu huna haja ya kuulizia ni maduka mengi yakina mama ndio biashara zao utasikia wanazipigia debe,kuhusu ubora kajionee mwenyewe kulingana na soko lako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…