Maberere JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 316 Reaction score 93 May 10, 2015 #1 Ni Lumia 1320 katika hali nzuri bei 400k. Kama uko unaitaka ni pm!
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 May 10, 2015 #2 Picha yake please..
Maberere JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 316 Reaction score 93 May 10, 2015 Thread starter #3 ndetichia said: Picha yake please.. Click to expand... Hii siyo simu za kawaida hii ni high brand ingia gsm arena utaona kila kitu. Picha ni kwa zile simu ambazo hazitambuliki kimataifa.
ndetichia said: Picha yake please.. Click to expand... Hii siyo simu za kawaida hii ni high brand ingia gsm arena utaona kila kitu. Picha ni kwa zile simu ambazo hazitambuliki kimataifa.
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 May 10, 2015 #4 Maberere said: Hii siyo simu za kawaida hii ni high brand ingia gsm arena utaona kila kitu. Picha ni kwa zile simu ambazo hazitambuliki kimataifa. Click to expand... Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..! Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..?
Maberere said: Hii siyo simu za kawaida hii ni high brand ingia gsm arena utaona kila kitu. Picha ni kwa zile simu ambazo hazitambuliki kimataifa. Click to expand... Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..! Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..?
Mad Scientist JF-Expert Member Joined Jul 27, 2013 Posts 215 Reaction score 77 May 10, 2015 #5 Naomba utifaki ya mteja ni mfalme izingatiwe. Tafadhali!
Maberere JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 316 Reaction score 93 May 10, 2015 Thread starter #6 kalimizzle said: Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..! Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..? Click to expand... Ndo natumia siwezi kuipiga picha na sina camera wala simu yenye camera nzuri. Mteja aingie Google then atype Lumia 1320 atapata picha na specs' zote.
kalimizzle said: Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..! Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..? Click to expand... Ndo natumia siwezi kuipiga picha na sina camera wala simu yenye camera nzuri. Mteja aingie Google then atype Lumia 1320 atapata picha na specs' zote.
S Sometimes JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 4,536 Reaction score 1,137 May 10, 2015 #7 Mzee umeacha biashara ya kutuagizia tablets na Androids toka China!
Maberere JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 316 Reaction score 93 May 10, 2015 Thread starter #8 Sometimes said: Mzee umeacha biashara ya kutuagizia tablets na Androids toka China! Click to expand... Nafanya but kwa sasa hazina faida sana watu walishakuwa wanjanja wana order wenyewe.
Sometimes said: Mzee umeacha biashara ya kutuagizia tablets na Androids toka China! Click to expand... Nafanya but kwa sasa hazina faida sana watu walishakuwa wanjanja wana order wenyewe.