Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Nauza line 6 za Tigopesa kwa sh. 400,000 kila moja. Anaehitaji karibu PM
Unaweza nihusisha
japo kidogo mkuu kwann unaiuza iyo line.
mmmh mkwanja n shdaaa kwa upande wangu bt nahtaj
Ziko 6, Nina sababu
zangu binafsi, zitakuwa kwa jina lako na hautapewa kwa jina la mtu
mwingine yeyote.
Nauza line 6 za Tigopesa kwa sh. 400,000 kila moja. Anaehitaji karibu PM
Swapped lines, utajuta.
Basi utakuwa na mkono au mtu tgo makao makuu au kwenye tawi si bure.Si kweli, ndio maana ukaambiwa uandae hivyo vitu hapo juu. Pitia comment za mwanzoni
Basi utakuwa na mkono au mtu tgo makao makuu au kwenye tawi si bure.