kumbuka matumizi sahihi ya alama za kiuandishi kama vile :/; /, yasipozingatiwa hupotosha maana iliyokusudiwa. nakubaliana nawe kuwa niliwapa shida walimu wangu; jaribu kuisoma tena hiyo sentensi iliyounda kichwa cha habari. linganisha maudhui ya habari yenyewe (yaumbwe kwenye kiini cha bei) 240,000 sawa na kamera mtumba!!!!