baada ya kututajia bei.... cha msingi zaidi... ina vibali vyake vyote? je iko dukani? ni iliyotumika n.k? au ni baadhi ya mitaa hatupaswi kupita nayo au kuitumia?!!!
baada ya kututajia bei.... cha msingi zaidi... ina vibali vyake vyote? je iko dukani? ni iliyotumika n.k? au ni baadhi ya mitaa hatupaswi kupita nayo au kuitumia?!!!
inabidi tumuulize maana siku hizi bado tungali tukinunua vitu vya mikononi iko siku vitatughalimu na tutatakiwa kujibu kichwa au mkono wa mtu uliokatwa wakati unyang'anyi unafanyika viko wapi!!!?:cool2:
Phone phone phone! Stylish LG Optimus 3D P920 nauza. Ipo kwenye hali nzuri. Angalia specs zake kwe web ya lg.com then PM me kama unahitaji. Ni 450,000 bei ya kutupa. Nauzia shida tuuuuu!!!