Nauza laptop

Nauza laptop

ochoo

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
49
Reaction score
1
Ninauza laptop yenye sifa zifwatazo,
Dell latitude d620,
2.2ghz dual core processor,
2gb RAM,
80GB Hardisk.
Bei 320k, laki 3 na 20
Contacts, 0786 305664
 

Attachments

  • 1383275496168.jpg
    1383275496168.jpg
    56.6 KB · Views: 132
  • 1383275512621.jpg
    1383275512621.jpg
    51.8 KB · Views: 106
Ninauza laptop yenye sifa zifwatazo,
Dell latitude d620,
2.2ghz dual core processor,
2gb RAM,
80GB Hardisk.
Bei 320k, laki 3 na 20
Contacts, 0786 305664


Hapo parefu sana labda kwenye 1 na nusu maana gb 80? Ingekuwa kama 320 gb kwa bei hiyo sawa.
 
Hapo parefu sana labda kwenye 1 na nusu maana gb 80? Ingekuwa kama 320 gb kwa bei hiyo sawa.
acha dharau dogo, heshimu tangazo la mtu. utapata wapi laptop ya laki unusu???
 
Betri yake inatunza chaji kwa muda gani?
 
chaji inakaa sana 3hrs na kuendelea depending na activity unayofanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom