Nauza Laptop

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Ninauza laptop yenye sifa zifuatazo.

1. Model : HP probook 6360b
2. RAM : 4 GB
3. Harddisk : 500GB
4. Screen : 14 inches
5. OS : Windows 7 pro (Activated)
6. Processor : Core i5, 64bit, 2.5 GHz
7. Graphics card : NVIDIA
8. Condition : kama inavyoonekana.
Kwa juu kulikuwa na sticker imeanza kubanduka, kama ukiweza kuibandua yote itakuwa na muonekano mzuri. Tofauti na hilo ipo vizuri na inafanya kazi vyema kabisa.
9. Battery : inakaa na chaji kwa masaa matatu na zaidi kwa matumizi ya kawaida.


Bei : TSh 360,000 ( Maongezi yapo )

Mawasiliano : waweza nitumia PM ama ukapiga namba 0620175280.

Hiyo namba ni ya kupiga simu za kawaida na message za kawaida. Haipo whatsapp. Unaweza piga ama kutuma sms muda wowote ule.

Sababu ya kuiuza ni kwamba nimepata laptop nyingine, hivyo hii sina nayo matumizi kwa sasa.

Picha zinafuata chini.











Karibuni nyotee.
 
nahitaji uko pande zipi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…