Computer4Sale Nauza Laptop Toshiba Satelite

Charlie91

Senior Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
122
Reaction score
50
Wasalaam wana jamvi.
Nauza laptop Toshiba Satelite
Specification
RAM 4GB
Processor Core i3 , 2.18 ghz
Hard Disk 500 GB
Life span ya battery 2hours plus
Computer iko kwenye ubora wake.
Anae hitaji ufanye Uni PM tuongee biashara.
 
Mimi nilidhani kuwa huyo Charles ndiye anayeonywa juu ya mtu tapeli?
Lakini kwa kutuondolea hofu mkuu weka bei yake, imetumika kwa muda gani,na unapatikana wapi.
 
Imetumika miezi sita, 450 negotiable...nico dar kokote inafika.
Karibu mkuu
 
chukua laki 2,njoo riva side
Jaribu kuulizia bei ya tu RAM 4 GB inauzwaje
Pia fungua hdd 500GB nikiuza hiyo ni zaidi ya hiyo...hela yako.
Jifunze kuwa na kujua vitu... mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…