Ni HP 6375s iliyopo katika hali nzuri na hard disc ya 150GB. Inakaa na chaji kwa zaidi ya masaa 2 na nusu, pamoja na RAM ya 1GB inayoweza kuongezwa. Haijawahi kusumbua, naiuza kwa kuwa nishamaliza chuo na kazi yangu haihitaji kutumia laptop. Naiuza kwa bei ya sh 250,000/= ambayo ni nafuu sana kwa laptop hii. Karibuni
0768932789
0659528724
0768932789
0659528724