Hiyo projector ni mpya au used. Kama used ina remaining bulb hours ngapi? My offer is 300 thau...if interested text me on O713531906 and we will do business.
mkuu hapo kwenye red si lugha sahihi ya kibiashara,kuhusu laptop ngoja nimcheck jamaa yangu mmoja alikua anaitaji then ntakutafuta.kwa wewe upo wap?Mkuu ina hours zaidi ya 3000 unamiaka kadhaa ya kuitumia kwa ofa yako siyo mbaya lakini ninauhakika na mashine yangu so bei niliyoweka ndiyo final otherwise nitaendelea kuitumia mwenyewe.
mkuu hapo kwenye red si lugha sahihi ya kibiashara,kuhusu laptop ngoja nimcheck jamaa yangu mmoja alikua anaitaji then ntakutafuta.kwa wewe upo wap?
Laptop Toshiba Satellite J60,RAM 1GB,HDD 40GB,SPEED 2.6GHz,CD ROM. BEI 150,000
EPSON PROJECTOR iko safi kabisa. BEI 380,000
SELLING REASON:Need some quick cash to resolve a certain issue. Contact 0717 017 820
UNAVYOZIONA PICHA NDIVYO MASHINE ZILIVYO.
mkuu hiyo Laptop betri inakaa muda gani na ina matatizo kwa ujumla then tuongee biashara
Zipo projector 2,nicheck kama unahitaji