kaka ni kweli HP lakini mbona hujamalizia HP nini mfano hp 6030s sasa umetaja tuu hp maana hata dell ni dell ila kuna dell optiplex 5555 au toshiba satelaite ***** sasa wewe una uza hp nini maana ninashida na hp
kaka ni kweli HP lakini
mbona hujamalizia HP nini mfano hp 6030s sasa umetaja tuu hp maana hata
dell ni dell ila kuna dell optiplex 5555 au toshiba satelaite *****
sasa wewe una uza hp nini maana ninashida na hp