mashine bado ipo..bei inapungua kidogo
Narudia tena jamaa nikupe nusu inayobaki kwa installment japo mbili. . . . Upo tayari?
dell inspiron 1545 inauza
colour pink
RAM 3gb
hhd 180gb
inakaa na charge 2hrs
bei 430000 tu..
ipo katika hali nzuri kama uionavyo kwny picha
anaitaji anipm kwa tufanye biashara