Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Jan 28, 2020 #1 Habari wakuu! Nauza laptop aina ya HP imetumika mwaka mmoja na nusu, betri iko fresh inakaa na chaji masaa matatu lakini kwenye keyboard yake kuna baadhi ya batani zinasumbua. Kwa atakayehitaji bei ni 270,000/=. Napatikana Mbezi Beach - Salasala. 0679478758.
Habari wakuu! Nauza laptop aina ya HP imetumika mwaka mmoja na nusu, betri iko fresh inakaa na chaji masaa matatu lakini kwenye keyboard yake kuna baadhi ya batani zinasumbua. Kwa atakayehitaji bei ni 270,000/=. Napatikana Mbezi Beach - Salasala. 0679478758.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Jan 28, 2020 #2 Hard disk GB 10 si bora ninunue memory card.
Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Jan 28, 2020 Thread starter #3 Hard Mbao za Mawe said: Hard disk GB 10 si bora ninunue memory card. Click to expand... disk 32GB
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Jan 28, 2020 #4 Isaack Newton said: Hard disk 32GB Click to expand... Ram KB 800 kweli? [emoji15]
Isaack Newton JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 619 Reaction score 371 Jan 28, 2020 Thread starter #5 Mbao za Mawe said: Ram KB 800 kweli? [emoji15] Click to expand... RAM 4 G.B