NAUZA LAMINATION & BINDING MACHINE

Huyo jamaa ni mwongo hata msimsikilize.

Atakwambia njoo uione then unajibeba ukifika anakwambia kashauza
mkuu naomba uache shobo na business za watu, kama huna hela tuliza kipapa ni lini mimi na wewe tulifanya biashara?
 
Mashine bado zipo wapendwa, call; 0754 669580
 
 
Kwa maelezo ya mwanzo haioneshi wewe kua mfanyabiashara wa hivyo vitu. Hii kauli ya kusema umewatumia watu wengi inanipa mswali zaidi ya majibu
kwani idadi ya watu wengi inaanzia wangapi?
 
kwani idadi ya watu wengi inaanzia wangapi?
Inategemeana na biashara na aina ya tangazo lako lilivyo. Kwahapa umetudanganya. Wewe sio muuzaji wa vifaa (i mean unauza hivi kwasababu za kimatumizi na sio biashara) labda kama una biashara unayoifanya nje ya jf ila sio ya stationary
 
Sasa mbona katangazo kafupi, hujaelezea bidhaa zote
 
wewe hata hueleweki unataka nini, anyway mind your own business
Sihitaji lamination ila kulingan na maelezo yako nahisi unaweza kua na bidhaa zingine. By the way mfanyabiashara hakasiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…