A Andre02150 JF-Expert Member Joined Feb 2, 2010 Posts 332 Reaction score 129 Jun 9, 2014 #1 Nauza kuku (majogoo) wa kienyeji wenye uzito wa kilo 2 na kuendelea. Kuku nawafugia shambani Bagamoyo. Mwenye kuhitaji tuwasiliane. Bei elfu 15 kwa kila kuku. Tuwasiliane 0684 599 704
Nauza kuku (majogoo) wa kienyeji wenye uzito wa kilo 2 na kuendelea. Kuku nawafugia shambani Bagamoyo. Mwenye kuhitaji tuwasiliane. Bei elfu 15 kwa kila kuku. Tuwasiliane 0684 599 704