Nauza kiwanja

Nauza kiwanja

alma gemela

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
842
Reaction score
280
Kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane PM
 
Salsa hicho kiwanja unakiuza bure,mbona bei hujaweka au ndo unataka tukupangie being sisi
 
kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane pm

tegeta kubwa mkuu, hiyo tegeta gani, na kama unaenda mwenge kiko upande wa kushoto au kulia, kiko umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo rd?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom