Nauza kiwanja ununio

Nauza kiwanja ununio

Ni robo heka
Kipo karibu na bahari
Bei ni mil 40 tu
Hati ipo

Mkuu salama? Hicho kiwanja kina ukubwa gani kwa square meters? Naomba pia namba yako ya simu tuyajenge ili tuone kama tunaweza kuja kuliona eneo. Thibitisha pia kama kweli eneo lina Hati ya umiliki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom