Nauza Kiwanja - Toa Ngoma

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Natangaza kwa mara nyingine kuuza kiwanja changu kilichopo Malela, Toa ngoma
Ni 2km kutoka barabara kuu itokayo kongowe kuelekea kigamboni upande wa kushoto kama unaelekea kigamboni toka kongowe, unaingilia kituo kinaitwa msikitini.
Kina ukubwa wa futi 65kwa 170, hakijapimwa ila pako survryed karibia na viwanja vilivyopimwa hvo muda wowote patapimwa. Ni kikubwa sana.Bei ni milion kumi(10mil.) Maelewano yapo kidogo, serious buyer ani PM tufanye biashara.karibuni
 
Mkuu zile tofali zimo kwenye hiyo bei au?

Hapana nilishauza kaka zimebaki kokoto tu trip 1 ndio maana bei nimepunguza sana mkuu.karibu
 

Vp muonekano wake na barabara ya mtaa? Umeme tayari???
 

Futi 65 ni kikubwa mkuu? Futi 65 ni sawa na 19m! Kiwanja kikubwa ni @ lst 1600m²...Anyway unafika kwenye yale makaburi au mbele yake?
 
Futi 65 ni kikubwa mkuu? Futi 65 ni sawa na 19m! Kiwanja kikubwa ni @ lst 1600m²...Anyway unafika kwenye yale makaburi au mbele yake?

Mbele yake ni kikubwa labda nimechanganya vipimo kaka ila ni kikubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…