IPILIMO JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 1,819 Reaction score 802 Sep 23, 2013 #1 Kwa yeyote mwenye uhitaji wa kupata kiwanja kizuri maeneo ya visiga madafu tafadhari awasiliane nami. kiwanja ni robo eka (kiko flat na miembe tanga miwili) wewe ni kula tu kila msimu) sio porini ni kwenye makazi tena mapya (japo hakujapimwa) ni karibu na barabara iendayo zegeleni kwenye viwanda vya wachina ukitoka barabara ya rami; madafu wanapokaa police traffic ni kama km 1. umeme na maji vipo kwa waliokwisha jenga (majirani) barabara ina usafiri wa mizigo na abiria ( magari na pikipiki)ipitayo karibu. bei ni milioni 3.5 wakati wa taarifa hii (inazungumzika kidogo). ukitaka kukiona piga namba hii: 0652-656565 pia kiwanja hiki kinapakana na kiwanja chenye ukubwa wa zaidi ya nusu eka. bei yake ni 6.5 m (inazungumzika kidogo hata ukitaka muunganiko) hakika hali ya hewa ni nzuri sana maeneo haya, na watu wanapenda maeneo haya hasa kwakuwa yana uwekezaji unaondelea maeneo haya (hasa viwanda). bei itabadirika kadri ya muda utakavyo kuwa unasogea.
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa kupata kiwanja kizuri maeneo ya visiga madafu tafadhari awasiliane nami. kiwanja ni robo eka (kiko flat na miembe tanga miwili) wewe ni kula tu kila msimu) sio porini ni kwenye makazi tena mapya (japo hakujapimwa) ni karibu na barabara iendayo zegeleni kwenye viwanda vya wachina ukitoka barabara ya rami; madafu wanapokaa police traffic ni kama km 1. umeme na maji vipo kwa waliokwisha jenga (majirani) barabara ina usafiri wa mizigo na abiria ( magari na pikipiki)ipitayo karibu. bei ni milioni 3.5 wakati wa taarifa hii (inazungumzika kidogo). ukitaka kukiona piga namba hii: 0652-656565 pia kiwanja hiki kinapakana na kiwanja chenye ukubwa wa zaidi ya nusu eka. bei yake ni 6.5 m (inazungumzika kidogo hata ukitaka muunganiko) hakika hali ya hewa ni nzuri sana maeneo haya, na watu wanapenda maeneo haya hasa kwakuwa yana uwekezaji unaondelea maeneo haya (hasa viwanda). bei itabadirika kadri ya muda utakavyo kuwa unasogea.