C Chopra1235 Member Joined Jan 5, 2019 Posts 14 Reaction score 18 Apr 23, 2019 #1 ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana Bei 4.5M
ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana Bei 4.5M
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,927 Reaction score 101,433 Apr 23, 2019 #2 Chopra1235 said: futi 50 kwa 50 Click to expand... futi au mita?
C Chopra1235 Member Joined Jan 5, 2019 Posts 14 Reaction score 18 Apr 23, 2019 Thread starter #3 Futu mkuu
C Chopra1235 Member Joined Jan 5, 2019 Posts 14 Reaction score 18 Apr 23, 2019 Thread starter #4 Futi**
Ndukidi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 1,500 Reaction score 1,303 Apr 23, 2019 #5 Chopra1235 said: ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana Bei 4.5M Click to expand... Una maana karibu mita 16 kwa 16? Mbona kiwanja kidogo sana hiki bosi? iko 1.5m? kama kweli kiko karibu na bara bara.,
Chopra1235 said: ninakiwanja vikindu kazole futi 50 kwa 50 kipo karbu na barabara maji na umeme vinapatikana kirahis sana Bei 4.5M Click to expand... Una maana karibu mita 16 kwa 16? Mbona kiwanja kidogo sana hiki bosi? iko 1.5m? kama kweli kiko karibu na bara bara.,
C Chopra1235 Member Joined Jan 5, 2019 Posts 14 Reaction score 18 Apr 23, 2019 Thread starter #6 Ndukidi said: Una maana karibu mita 16 kwa 16? Mbona kiwanja kidogo sana hiki bosi? iko 1.5m? kama kweli kiko karibu na bara bara., Click to expand... dakika tano kutoka barabarani.....hata ukiamua kujenga mchanga unapata hapo karibu........na maji sio shida kabisa.
Ndukidi said: Una maana karibu mita 16 kwa 16? Mbona kiwanja kidogo sana hiki bosi? iko 1.5m? kama kweli kiko karibu na bara bara., Click to expand... dakika tano kutoka barabarani.....hata ukiamua kujenga mchanga unapata hapo karibu........na maji sio shida kabisa.
C Chopra1235 Member Joined Jan 5, 2019 Posts 14 Reaction score 18 Apr 23, 2019 Thread starter #8 1gb said: Ipo 1.5m Click to expand... Hapana mkuu.....apo mbali sana.
Al-akhdally Member Joined Jul 3, 2018 Posts 97 Reaction score 119 Apr 23, 2019 #9 Chopra vikindu bado haijafika 4.5m poza bei hio.