Habari.
Nauza kiwanja kipo msakuzi karibu na makabe
-ukubwa ni square meters 400(20 kwa 20)
-kipo eneo tambarare sio bondeni ni barabarani unaweza weka frames kwa mbele
-Hakina hati bado, ila ndo tupo kwenye mchakato wa kupata hati kwa wakazi wa eneo hilo na mwaka huu wameanza kupima
-Bei ni mil 13,hakina dalali mie ndo mwenye kiwanja, nimepatwa na shida inayohitaji fedha ndo maana nakiuza ,nilikinunua kwa ajili ya kujenga frames na vyumba vya kupangisha
-Umeme upo tayari (hautahitaji hata nguzo 1 ili umeme ukufikie)
Karibuni