Nauza kiwanja morogoro

Nauza kiwanja morogoro

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Nauza kiwanja changu chenye ukubwa kama ifuatavyo;
urefu hatua 30 * upana hatua 20.

Kiwanja hiki kiko mita 200 kutoka barabara kuu, na kipo eneo zuri kwa makazi na biashara.Kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu.

Kiwanja kipo kata ya dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro. ukiwa unatokea morogoro mjini ukifika dumira njia panda fuata barabara ya kwenda kilosa,utafika eneo moja linaitwa magole state utasogea mbele kidogo kuna shule ya sekondari ya kitetete, then kwa mbele kuna kitete senta kambla ya hapo senta upande wa mkono wa kulia ikiwa unaenda kilosa ndipo kilipo kiwanja hicho.

Bei ya kuanzia ni Tsh.650,000/-(laki sita na nusu) lakini kwa ambae ana uhitaji tutaongea na tutaelewana.Nawakaribisha saana.

Kwa mawasiliano zaidi nitafute kupitia namba zifuatayo;
Vodacom 0743 708 675 na
Airtel 0692 765 800
Au niandikie kwenye email barakanyabiri@gmail.com
Ahsanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom