Nauza kiwanja Morogoro

Nauza kiwanja Morogoro

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,590
Reaction score
2,435
Habari wakuu.
Eneo la makazi na kilimo lililopo kilometa 20 toka msamvu kuelekea Dodoma na kilometa 5 toka barabara kuu iendayo Dodoma naliuza. Kuna Ekari 3 ambapo kila moja nauza Tsh.500,000/-(laki tano) . Lipo karibu na kiwanda cha kusindika nyama kupita mkundi baada ya mradi wa Watumishi Company.

Simu;0713-039875 au 0784-976570
 
Nipe details zaidi ndo niguse hiyo namba ya simu. Hata pm sawa
 
Back
Top Bottom