Nauza kiwanja,milioni moja

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,039
Reaction score
3,613
Kiwanja kipo kibaha,ukubwa 20 kwa 20
Kibaha kwa matias,umbali km 4 toka morogoro road,bei milioni moja,mawasiliano zaidi pm
 
milion 1. sm400 khalafu ni Kibaha kwa matiasi.huu kama utani vile.

ushauri .umeanzia juu sana
 
milion 1. sm400 khalafu ni Kibaha kwa matiasi.huu kama utani vile.

ushauri .umeanzia juu sana
Wewe hacha masihala m moja kwa matiasi.? 4km toka lami. Watu wananunua msangani 12 km na zaiidi Hadi huko mbele Madina Bei zaidi ya hiyo. Huyo ameamua kugawa kiwanja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…