nauza kiwanja miguu 20 x 20

nauza kiwanja miguu 20 x 20

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
Kiwanja kipo vikindu,njia ya kwenda chuo cha ualimu,ni tambarare na gari inafika hadi kiwanjani
Bei milioni3,maongezi yapo.dalali hatakiwi kama ni muhitaji ni PM nikupe namba yangu nitakupeleka mwenyewe hadi kwenye kiwanja.
 
Back
Top Bottom