Nauza kiwanja Mbezi Msumi

Nauza kiwanja Mbezi Msumi

meccy

Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
23
Reaction score
7
Habari za majukumu wana jf,

Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 25X25, kipo maeneo ya Mbezi Msumi. Kiwanja kina jengo la vyumba viwili na nipo katika mchakato wa kupata hati.

Bei maelewano, pm kwa kupata maelezo zaidi.
 
weka initial price baada ya kupata hati.
Picha ya eneo pia muhimu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom