Nauza kiwanja Mabwepande

Nauza kiwanja Mabwepande

NYANI MZEE

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
42
Reaction score
12
Nauza kiwanja kipo mabwepande,kipo karibu na dispensary ya Mabwepande na karibu na makazi ya watu,kina ukubwa wa hatua 20 x 20
Mawasiliano 0762 768053

Karibuni
 
Nimeshindwa kuweka picha kwa sababu picha niliyonayo itaonyesha eneo kubwa na siuzi lote ni sehemu tu,mambo yamebebana

kwani kuna mtu asiyejua miguu 20 kwa 20 inaishia wapi?
acha uoga mkuu.
weka picha
ebooooo...
 
hivi mbn hununuagi kitu kaz ku comment tu?

inaelekea unanifuatiliaga sana.
kwa hiyo unataka nikishanunua niku PM kuwa nimenunua?
we muuzaji? au namba zote za wauzaji unazimiliki wewe?
unajua kama nawasilianaga nao?
luku vere
 
inaelekea unanifuatiliaga sana.
kwa hiyo unataka nikishanunua niku PM kuwa nimenunua?
we muuzaji? au namba zote za wauzaji unazimiliki wewe?
unajua kama nawasilianaga nao?
luku vere
WEWE ni mzushi tu huna lolote ptu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom