V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Apr 26, 2025 #1 Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 20x25. Kipo Mabwepande karibu na hospital ya Wilaya. Mauziano ni Serikali ya mitaa, huduma muhimu zipo karibu. Bei ni sh 8,400,000.00 Ukitaka maelezo zaidi piga simu au watsapp Peter +447939378570
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 20x25. Kipo Mabwepande karibu na hospital ya Wilaya. Mauziano ni Serikali ya mitaa, huduma muhimu zipo karibu. Bei ni sh 8,400,000.00 Ukitaka maelezo zaidi piga simu au watsapp Peter +447939378570
mzado JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 1,024 Reaction score 1,535 Apr 26, 2025 #2 Hakina changamoto yoyote..?
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Apr 26, 2025 Thread starter #3 Hakina changamoto kabisa , tunaweza kuandikishiana kwa mwana sheria sio mashahidi wa kuokoteza
Mvinyo mpya JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 3,260 Reaction score 7,703 Apr 26, 2025 #4 Hiyo no ya UK mkuu nishaogopa. On serious note nahitaji kukiona nitakutafuta WhatsApp.
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,289 Reaction score 1,426 Apr 26, 2025 Thread starter #5 Ok