Mbona kama umeanzisha thread na kuijibu kwa ID nyingine?Hallo, hili eneo bado lipo, na vipi huduma za maji na umeme zimeshafika?
Ndiyo alichofanya mwamba??? Asee unajua kuchungulia, kiwanja anauza maneno 😁😁😁Mbona kama umeanzisha thread na kuijibu kwa ID nyingine?
Huduma zote zipo, kwa maelezo zaidi piga namba hapo juuHallo, hili eneo bado lipo, na vipi huduma za maji na umeme zimeshafika?
Picha hizo hapo za kiwanja pamoja na SketchView attachment 2528509View attachment 2528510View attachment 2528508Ebu tupe maelezo ya kutosha kina hati miliki?