Nauza kiwanja kipo morogoro

Nauza kiwanja kipo morogoro

Nyabiri

Member
Joined
Apr 15, 2017
Posts
58
Reaction score
38
Najitokeza kwa mara nyingine kutangaza kuuza kiwanja changu kilichopo dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro.
kiwanja hiki kina ukubwa wa hatua 30 urefu na hatua 20 upana.Kipo eneo zuri linalofaa kwa biashara na makazi.Kipo mita 200 kutoka barabara kuu iendayo kilosa.

Gharama ni Tsh.650,000/-lakini tunaweza kuzungumza na kuelewana.
Kama unahitaji tafadhali nitafute kupitia:
Email simonnyabiri@gmail.com
AU
Simu no. 0743 708 675 Na 0692 765 800

Ahsanten, karibuni saana
 
Kama kina hati na taarifa nyingine muhimu Kwa jina lako,
Tafadhari wasiliana na mimi (namba nitakupa pm)
Maana muda si mrefu nakuja tafuta kiwanja Morogoro,
Kuna mtu nimempa hio kazi kesha pata vitatu sasa nitaongeza na cha kwako iki niwe na multiple choice.
 
Najitokeza kwa mara nyingine kutangaza kuuza kiwanja changu kilichopo dumira wilaya ya kilosa mkoa wa morogoro.
kiwanja hiki kina ukubwa wa hatua 30 urefu na hatua 20 upana.Kipo eneo zuri linalofaa kwa biashara na makazi.Kipo mita 200 kutoka barabara kuu iendayo kilosa.

Gharama ni Tsh.650,000/-lakini tunaweza kuzungumza na kuelewana.
Kama unahitaji tafadhali nitafute kupitia:
Email simonnyabiri@gmail.com
AU
Simu no. 0743 708 675 Na 0692 765 800

Ahsanten, karibuni saana
Laki sita?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom