Nauza kiwanja kipo Mbezi Msakuzi.

VIWANJA VYA MSAKUZI KUWENI WAANGALIFU MNUNUE VYENYE HATI HASA HIVYO VYA 20x20
 
Asante
 
Mbezi naijua vizuri maeneo mengi ni ya hovyo tu
Yaani wewe acha tuu Mkuu sijui watu wanakupendea nini huko,kwanza maji yenyewe tuu yakutafuta kwa tochi,maisha aghali mabonde kibao wakati kuna sehemu nzuri sana za kuishi ardhi tamabarare,maji ya kumwaga,ardhi bei rahisi,hewa safi bila kusahau maisha nafuu.
 
Chukua 5m mkuu
 
Kama maeneo yapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…